Wednesday, July 11, 2012

SHINDANO LA NANI MKALI? KUTOKA KATIKA BAND MBALI MBALI TANZANIA

Mashindano hayo ya kutafuta vipaji "NANI MKALI" kutoka katika Band za dansi, yalishirikisha waimbaji chipukizi kutoka Band kama TwANGA PEPETA, DIAMOND SOUND, MASHUJAA, K-MONDO SOUND na zingine.

Yalifanyika uiku wa Jumanne ya tar 10 July 2012, ndani ya Nyumbani Lounge huku yakiwa yanaruShwa live na CLOUDS TV
wapenzi na mashabiki wa wanamuziki hao watatakia kuwapigia kura kupitia namba zilizotangazwa. Kila mmoja ana namba yake
Mshiriki wa kwanza kufungua dimba alikua anatokea Band ya Twanga Pepeta na mtiririko ukaendelea ukifuatiwa na Band zingine




 ASHA BARAKA akiteta jambo na RUGE MUTAHABA
Atakae ibuka mshindi atajibebea kitita cha fedha sh. 1,000,000 milioni koja za ki Tanzania pamoja na record deal la nyimbo moja na Video






 waZIRI kutoka Band ya Njenje alikua ni moja ya majaji


Musa Hussein na Maimartha wa Jese ndio walikua washereheshaji wa shughuli hiyo

2 comments:

R.Ngaiza said...

Duh kumbe hivi ndivyo nilivyomiss mwe! nimeliaje sasa

Rida said...

kweli kiwanja chetu kipo juuuu hongera Mr&Mrs G wa ukweli