Mashindano hayo ya kutafuta vipaji "NANI MKALI" kutoka katika Band za dansi, yalishirikisha waimbaji chipukizi kutoka Band kama TwANGA PEPETA, DIAMOND SOUND, MASHUJAA, K-MONDO SOUND na zingine.
Yalifanyika uiku wa Jumanne ya tar 10 July 2012, ndani ya Nyumbani Lounge huku yakiwa yanaruShwa live na CLOUDS TV
wapenzi na mashabiki wa wanamuziki hao watatakia kuwapigia kura kupitia namba zilizotangazwa. Kila mmoja ana namba yakeMshiriki wa kwanza kufungua dimba alikua anatokea Band ya Twanga Pepeta na mtiririko ukaendelea ukifuatiwa na Band zingine
ASHA BARAKA akiteta jambo na RUGE MUTAHABA
Atakae ibuka mshindi atajibebea kitita cha fedha sh. 1,000,000 milioni koja za ki Tanzania pamoja na record deal la nyimbo moja na Video
waZIRI kutoka Band ya Njenje alikua ni moja ya majaji
Musa Hussein na Maimartha wa Jese ndio walikua washereheshaji wa shughuli hiyo
2 comments:
Duh kumbe hivi ndivyo nilivyomiss mwe! nimeliaje sasa
kweli kiwanja chetu kipo juuuu hongera Mr&Mrs G wa ukweli
Post a Comment