Njia nyingine rahisi ya kupunguza mwili ka kufanya massage
Kuna products nyingi mbali mbali zinazoweza kusaidia kuondoa sehemu za nyama za mwili ambazo usingependa ziwepo
Kuna mafuta ya aina mbalimbali ya kufanyia massage ambayo yanasaidia, kila mtu kutokana na upendeleo wake.
Ila ni muhimu kupata mtaalamu wa kukufanyia massage hayo ya ku slim mwili kwani sio kila mtu anaweza shughuli hiyo.
Moja ya product ambazo na prefer ni:
DUDUR- Slimming Oil "Paris"
Unaweza kununua mafuta yake, ambayo unaweza kutumia kwa kupakaa mili mzima kama mafuta ya kawaida au unaweza kuyatumia kwa kufanyia massage, vitu vingine ambavyo unatakiwa kuwa navyo ni pamoja na body scrub, slimming bath, firming gel, slimming cream na vinginevyo unavyovitumia kwenye maisha ya kila siku
Ya kuogea, ya kujipaka na ya ku scrub...
ya kujipaka ndio hiyo hiyo unaweza kufanyia na massage.
Unatakiwa ujipime kwa kutumia tape meaure kabla hujaanza kutumia product ili baada ya muda ucheki kama kuna mabadiliko.
Unapojipakaa, hakikisha unazingatia sehemu unazotaka zipungue, kama ni tumbo, mapaja, miguu, ma hips n.k
Unapaka huku ukiwa unasugua na dole gumba kisha unasugua na mikono yote kwa nguvu za kutosha.

1 comment:
waoooooooooo good new
Post a Comment