KATA KITAMBI KWA TIBA ASILIA
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunayo dawa safi ya kukata kitambi. Haina side effects, ni " pure herbal " wala haijachanganywa na kemikali yoyote. Ni dozi ya siku ishirini na moja tu, na inaondoa kabisa tatizo la kitambi ndani ya siku kumi na nne. Imewasaidia watu wengi sana.
BEI YA DAWA ; Bei ya dawa hii ni Shilingi ELFU AROBAINI TU.
MAHALI TUNAPOPATIKANA : Tunapatikana katika eneo la Changanyikeni karibu na Chuo Cha Takwimu. Ukiwa Ubungo panda gari za UBUNGO-CHANGANYIKENI, kisha shuka kituo kinaitwa Takwimu. Ukifika kituo cha Takwimu tembea hatua ishirini mbele yako utaona bango limeandikwa NEEMA PRODUCTS LTD.
Kwa maelezo zaidi , Wasiliana nasi kwa simu : 0767010756 au 0753644583 AU 0657743183 au tembelea tovuti yetu
WWW.NEEMAHERBALIST.BLOGSPOT.COM
No comments:
Post a Comment