Saturday, August 18, 2012

ALBUM YA NYUMBANI LOUNGE RE-OPEN PARTY - SPONSORED BY RUSSIAN STANDARD VODKA

 Anaitwa Carol The Princess

 Swagz za ki Russia







 Jose Mara alikuwapo kutoa support "Jiraaaaaaaaaaaani"



Hii kitu ya juu designed by Tasleem
Mdada yuleeee niliwahi ku post kuhusu nguo zake


 Wency ndani



 Miss Ilalaz



 Jules Mswati
 Stara Thomas ndani ya Nyumba

Na JB pia

5 comments:

cally said...

looking good guys! naona wadada wa mjini wamependeza sana na wenye furaha.. kuleni raha kwa nafasi zetu,mkingoja kupewa na watu mtaambulia karaha..

RUKY said...

INAONEKANA ILIKUWA NZURI KWELIIII..ILA UKIVAA TUMBO WAZI HUWA NASHTUKAG.........SHAURI NAKUCHUKULIA NI MWANAMZIKI MWENYE HESHIMA TELE BONGO...LOVE U.. GIRL KWA UZURI TU....

wise monica kaaya said...

I was g8t Nyumbani lounge mapenoga sana + g8t band Machozi kilakitu kilikuwa mwake mwake big up sana Komandoo

R.Ngaiza said...

Asante kula nasi pipo mnang'aa ni noma. Naona zoezi lishakubali hongera mpenzi. Mungu azidi kukubariki

Ester Ulaya said...

Yes....tuli enjoy sana