Happy Birthday Mama MAX ndivyo Cake ilivyokuwa imeandikwa
Baba akimlisha mama Mr & Mrs to be
Chef alikuwa Mr. Jack
Chakula cha jioni klililiwa kwenye mgahawa wa Osaka uliopo Oysterbay
Na hizi ndio swaga za Ki JEP
Upishi tu ni show tosha, ndio maana kila mtu kazi yake ilikuwa kushangaa na kupiga picha
Bday girl in GOLD Dress
Captain G, Diana Promise, Komandoo Plus
Waliohudhuria baadhi ni Mike Mziray, Richard, Doreen na wengine majina hayakupatikana mpaka tunarusha picha hizi
Wake wenza

10 comments:
Birthday girl kapendeza. happy birthday mama Max.
WAWOOOOOO CYNTHIA HAPPY BIRTHAY...LOOKING CUTE HUYU DADA HUWA NAPENDA KWELI..SHE IS VERY CUTE,,CUTE,,CUTE.........
Heee! ni mzuri huyo mdada. Mi nilifikiri Beyonce. Hongera kwake!!!
Isabella
BEUTUFULLY GIRL HAPPY BIRTHDAY!!
BEUTIFULLY GIRL HAPPY BIRTHDAY!!
Happy birthday Cynthia
Happy bday Mama Max mlipendeza sana
hongera sana mama Max! umependeza mnooooooo!
Hongera kwa bday girl ila pia waalikwa mlipendeza sana. Hongereni wote.
yaah, she is so cute... Happy Birthday cute mama max...
Post a Comment