Wednesday, August 1, 2012

LA FAMILLE FUTARI YA PAMOJA

11 comments:

Disminder orig baby said...

MashaAllah hongera sana wanafamilia kwa umoja huu.
Mungu azidishe upendo. Amin

Anonymous said...

MI nalia jamani mlifaidi.
mmependeza sana jamani na vazi la kufuturu.
safiiiiii la famille idumu.
(sis).

Christine JM said...

Hongereni wapendwa kwa kufanikisha, next time tutakuwa wote.

wise monica kaaya said...

Hongereni jamani next time tutakuwa sote

kai rooney said...

Haswaa, Futari mwenzie mkeka, nimeipenda hiyo.

stevie-u.s said...

Good job Thawabu teele.

Stellah- mdau Tanga said...

Hongeren jaman la familia sie tulieko mbali twapitwa tu na mambo mazuri kila siku, ila inshallah mungu atuweke hai tutakuja onana, majukumu ya serikali ya Kikwete yamekuwa mengi. Kila la kheri Jide god bless u!

Rida said...

hahaha yetu macho tu tusio wanafamilia

diadora said...

Hongereni sana.

R.Ngaiza said...

Kweli mwenye bahati ni anato tu. Tarehe niliyoondoka Mh!

cisca kayumbo said...

jamani haya mambo lini mie habari sina ahhhh