Hii dozi ni muhimu kuitumia kwa pamoja
Ukianza na kahawa kila asubuhi, badala ya kunywa Chai au Kahawa ya kawaida unatumia Edmark Cafe
Ndani ya box kubwa la kahawa kuna PCS 20
Unakunywa pkt kimoja kwa siku,
kwahiyo utatumia kwa siku 20
Hutakiwi kuongeza sukari wala maziwa, yenyewe ni tamu na ina virutubisho vyote
Bei ya box la kahawani sh. 20,000/= alfu ishirini
Wakati unatumia kahawa usisahau kuwa unakunywa maji ya kawaida
Katika maji yoyote ya kawaida unayokunywa una add vijiko viwili vya chai vya Splina kwenye ujazo wa ml.250 unaweza kutumia saa yoyote ile unapokunywa maji
Makadirio ya chupa hii inaweza kutumika kwa muda wa wiki 2 mpaka 3
Kutegemeana na unywaji wako wa maji
Chupa ya SLINA inauzwa 55,500/= Alfu hamsni na tano na mia tano tu.
Shake Off ni powder, ambayo unatakiwa uitumie jioni saa moja baada ya mlo wa usiku
Baada ya masaa nane utapata majibu yake
Inasafisha uchafu na kuondoa mafuta ya ziada yasiyohitajika mwilini
Unamimina kipakiti kimoja katika maji unatingisha halafu unakunywa
Itumike baada ya dinner
Shake Off inauzwa 60,000/= Alfu sitiniUkishatumia product zote hizo tatu kwa wiki moja
Kuna nyingine ya kukata mafuta, unene na vitu visivyohitajika mwilini
Hiyo inaitwa MRT COMPLEX bei yake ni 130,000/= Laki na thelathini
Kazi kwenu wapendwa...
Kupata product hizi wasiliana na !!
JANE 0759 229 048
0785 118 818
Tafadhali naomba msinipigie simu yangu wala kuniandikia kwenye e-mail yangu.
Maelezo mtayapata kutoka kwenye namba za simu zilizowekwa hapo juu!!
Wahusika hao ndio watakuwa na majibu ya maswali yenu.
Asante
3 comments:
Unene huu unatutetesa sana vijana wa sasa. Nikirudi nakisavia nione majibu. Thanx mom
wizi tu wa kudanganya watu.
A friend referred me to your resource. Thank you for the details.
my webpage: port phillip bay fishing charters
Post a Comment