Friday, August 17, 2012

MAMBO YAMEWIVA KWA IJUMAA - MUONEKANO MPYA

Free BBQ na Welcome Drink kwa waalikwa wote (VIP)
Kutakuwa na nafasi ya ku taste products mpya za vinywaji mbali mbali.

ILA:
Kiingilio ni sh. 10,000/= kwa wengine wote watakaopenda kujumuika kwenye Party hiyo maalum.

LADY JAYDEE NA MACHOZI BAND watatumbuiza
Ni kuanzia saa 3 Usiku mpaka muda wa karibia na Asubuhi.




Sehemu kadhaa zimebadilika na kufanya mkao uwe wa kistarehe zaidi ya hapo Awali

 COUNTER YA NJE
Swala la jua na mvua halipo tena 
kwa wanaopenda makazi ya nje
Mengine ya ndani zaidi mtayaona mkija, 
tusimalize uhondo wote

 Russian Standard Vodka za kumwaga Ijumaa hii
t
Umewahi jaribu PATRON?? Fika basi maana tunazo
Na vinywaji vingine vyenye chupa nzuuuri mfano wa parfum/ a.k.a Perfume

5 comments:

Anonymous said...

What's up everybody, here every person is sharing these knowledge, so it's pleasant to read this website, and I used
to visit this website every day.
My page :: article source

Not Hater: said...

Yummy

Anonymous said...

hangera dada yangu,pamependeza sana kwa kweli.

stevie-u.s said...

Kweli pana vutia big up jd na captain kwa ubunifu hii ni kitu inawasumbua wafanyabiashara wengi kukosa ubunifu kuishia kuiga kila kitu

cisca kayumbo said...

yewomiiiii hiyo mishikaki jamani khaa mate yananitoka kwa kweli