Huyu ni mtoto Julius mwenye umri wa miaka 8, alikuwa nyumbani wakati wazazi wake wote wakiwa hawapo, Alikuwa yeye na kaka yake mwenye umri wa miaka 12.
Ndipo swahibu lilipomkuta mpaka kufanya aumizwe kiasi hiki
Sura ya mtoto imefichwa kutokana na maadili
Huyu ndio mtuhumiwa.
Alifika Nyumbani na kumlaghai mtoto Julius kwa pipi na kumuita uncle, uncle
Akamvuta mpaka vichakani na kutaka kuanza kumlawiti
Mtoto alipoona hivyo akaanza kupiga kelele na kupambana na mtuhumiwa
Muasi alikuwa tayari ameshavua nguo, alipoona mtoto anapiga kelele akaanza kumng'ata na meno mashavuni
Na kumpiga na jiwe kwenye paji la uso.
Bahati nzuri, MUNGU saidia, kuna mama alikuwa anashusha matofali akaskia kelele hizo kabla ya tendo baya kufanyika.
Akaita watu wakamkuta mtuhumiwa akiwa anaendelea kujaribu kumlawiti mtoto huyo wa kiume
Alifanikiwa kumwaga haja zake tu, ila hakufanikiwa kumuingia kimwili
Watu wenye hasira walimpa adhabu yake na yeye, kabla Police hawajafika na kumtia mbaroni
Mitaa ya Mbezi ya Kimara, amezunguka sana kuharibu watoto wa watu.
Kila Nyumba akifika anauliza baba na mama wapo?? akiambiwa tu hawapo anaanza shughuli zake
Hivi sasa yuko Hospitali ya TUMBI mahututi, akingojea kusomewa mashtaka
Kama kuna lolote la ziada tutaendelea kufahamishana.
Anaonekana pia kuwa ni shabiki wa Manchester United, Mashetani wekundu
Au labda kajivalia tu t-shirt tu na maushamba yake, mimi nimeudhika sana sijui wewe msomaji
Kama atapona, maana kipigo alichopata sio cha kitoto







8 comments:
JAMANI INATIA HASIRA MUNGU ATUSAMEHE LAKINI UNAWEZA HATA KUMUUWA JE ANGEFANIKIWA JAMANI, JAMANI...
mungu nusuru viumbe wako. huu ni unyama wa hali ya juu. jitu zima kutaka kutuharibia watoto ndio nini. inasikitisha mnooo!!wakati mwingine bora tuu sheria mkononi ifanye kazi.
huyo jamaaaa kanikera sana bora wangemp[a kipigo ambacho angekaa kitandan maisha yake yote,hamu gani io ya kwenda kumlawiti mtoto mdogo.leon lee
Nimeanza kuamini kwamba wengine sio binadamu. Ni mashetani yanayovaa sura za watu. Binadamu hawi hivyo. Pole saana mtoto na hongera kwa ujasiri. Asante Mungu kwa kumlinda mtoto. Tunakuomba uwalinde watoto woote.
Isabella.
Mungu wangu mwili umenisisimka kama vile wa kwangu me naona wange twanga hizo korodani zake pia nashukuru mungu kwa kumpa ujasiri mtoto jamani dah cjui tuwafiche api watoto wetu jamani dah!
mimi ningemwagia mafuta taa au petroli ni mchome mwenyewe.sisubiri polisi.maana na mimi tukio kama hilo liliwahi kumkuta mwanangu na mimi sikuwepo karibu nilikua safari niliporudi ndio nikaambiwa nilitaka kumtafuta mtuhumiwa na ambiwa hajulikani alipo.tena mimi alikua ndugu wa karibu.ikikukuta huwezi kua na huruma kama jela bora niende tu lakini niwamalize wote wanao fanya upuuzi huu.mungu uwalaani wote.
Pambafu zake anaaibisha timu yetu. Hatuna shabiki fedhuli kama huyo
dunia imekwishaaaa
Post a Comment