Tuesday, August 14, 2012

NYUMBANI LOUNGE TUNARUDI TENA

Chini ya udhamini wa Russian Vodka, Unaalikwa 
Nyumbani Lounge Re-Open Party.
Russian Vodka inafanya Party hii kwa VIP wote wa Dar, kuifungua upya Nyumbani Lounge kabla ya sikukuu ya Eid

 Ni Siku ya Ijumaa tar 17 August 2012
LADY JAYDEE na MACHOZI BAND Live on stage
Itakuwa ni siku ya kupendeza
Kutakuwa na Free BBQ kwa waalikwa wote
Pamoja na free Cocktails za Vodka mlangoni
Pamoja na free shots 
Ukipenda kufanya Booking ya Meza
Call # +255 784 884 007

Party haiishii Ijumaa
Muendelezo wa shughuli nzima utakuwa Jumamosi tar 18 August 2012
Grooveback THE RETURN na DJ Peter Moe, Kelvin na Crucial na DJ PQ

EID MOSI MIKANDAMIZO INAENDELEA
LADY JAY DEE na MACHOZI BAND
NA EID PILI ni GROOVEBACK NITE



2 comments:

wise monica kaaya said...

Asanteee bata none stop full ng,ainga'i kiwanja chetu cha mraha kimerejea i cant waitttt big big up Komandoo

R.Ngaiza said...

Mamawee hii sikupaswa kuokosa ila nafuraha Na wewe Mpenzi, Mungu awe nawe daima. Kila la kheri.