Wednesday, August 1, 2012

TUMEFUNGA NYUMBANI LOUNGE KWA MATENGENEZO...MPAKA BAADA YA RAMADHAN

12 comments:

stevie-u.s said...

Hii itasaidia kuamsha hamu zaidi kwa wateja ni muhimu sehemu kama hii kuziongezea mvuto kila inapobidi.

Disminder orig baby said...

yes mama kila la kheri.
challenges ni nyingi na dunia inabadilika kila siku lazima kubadili mvuto wa maeneo kila inapobidi.

Stellah- mdau Tanga said...

ok my dear, kila la kheri ktk marekebisho hayo

Rida said...

kila la heri kwa ukarabati

wise monica kaaya said...

Kila kheri kwa ukarabati mamy Mungu awasimamie mmalize salama hope patapendeza zaidi big up 2 G n J

mama C. said...

Yaani hapo nakupa shikamoo! maana watu wengi huwa tunajisahau kuboresha sehemu zinazotuletea pesa mara tunapatapo faida badala yake mtu anaenda kufungua kitu kingine the end of the day vyote vinakua havina standard nzuri!!!

Anonymous said...

Hongara mama tukimaliza kufunga tunataraji sura mpya.
nilikuwa naomba full add ya nyubani louge ipo mtaa gani mie ni mgeni lakini napendelea kufika huko siko moja.
tafadhali dadangu

Anonymous said...

naomba full add ya nyumbani ipo mtaa gani

safina said...

hongera dada Mungu akusimamie katika mipango yako much love you my sister

R.Ngaiza said...

Mvuto kwanza safi my love full kuongeza mvuto nami ntakuwa narudi coz zamu hii sikukufaidi. Mungu awe nawe daima.

Anonymous said...

hongera dada jide, pia asante kwa kuheshimu mwezi huu mtukufu maana matengenezo ungeweza kufanya hata baada ya mfungo ila naweza sema umeheshimu mwezi na miaka yote huwa unapumzika mwezi huu,,Mungu akulinde na kila baya na azidi kukufungulia milang ya kheri na akuepushe na kila baya,,,AMINA

Vivi said...

safi sana dada. ni watu wachache wanaweka bajeti ya maintenance