Shughuli itafanyika uwanja wa nje, kwenye Parking za TRANIC PLAZA/ NYUMBANI LOUNGE
VIP Ticket ni Tsh.50,000/= kila meza inakaa watu 8
Siti za kawaida ni Tsh.20,000/= zitauzwa mlangoni
Wasanii watakaopamba Usiku huo ni Ommy Dimpoz
Banana Zorro na B-BAND
Chege Chigunda
Na baada ya hapo patakuwa na after Party itakayofanyika Nyumbani Lounge ndani
LADY JAY -DEE na MACHOZI BAND
Kwa kufungia usiku huo.
Karibuni




1 comment:
Pamoja sana kitu cha Mwanayumba i hope ataonekana miss ilala
Post a Comment