Monday, November 19, 2012

ALBUM YA PICHA ZA HARUSI YA JACOB NA MAGGIE

 Reception ilifanyika Officers Mess - Dar es salaam


 Mr. and Mrs. Lukwaro wazazi wa bwana harusi
 Bwana harusi na Bestman walikuwa wanasherehekea pia siku ya kuzaliwa


 Ilifana na ilikuwa nzuri ya kupendeza


2 comments:

Anonymous said...

MAMBO JIDE NAOMBA KAMA UNAYO NAMBA YA HIYO GARI YA HARUSI LIMOSINE KAMA NI YA KUKODISHA , ASANTE SANA

Anonymous said...

gari lapatikana chichi hotel

nyabo