Thursday, May 9, 2013

YAHAYA - LYRICS (By Lady JayDee)
Chorus:
Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya

VERSE 1:
Huyu kijana mwenzetu, Kila siku tupo nae maskani
Anakula ofa za watu, Anapoishi hata hapajulikani
Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuae
Anavyozuga, anavyopita
Si umdhaniae
Na hafananii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
Longo longo nyingi

Rudia Chorus:

VERSE 2
Kwa story za vilingeni, Utafikiri kweli yeye ndio boss
Suruali zake na mashati, Anasema anafanya kazi bank
Mara anasema usalama wa Taifa, Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae
Na hafanii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
Ooooh Yahaya

Rudia Chorus:

Mara anasema usalama wa Taifa
Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya
Uso mdhaniae
Na hafanii kabisa na fix anazo fanya
Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata
Kumbe hana helaa

Chorus:
Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya
 
MWISHO:

Mtunzi/ Mwandishi: Judith Wambura ( Lady JayDee)
Producer: Man Water
Studio: Combination Sound
 

20 comments:

Anonymous said...

NIMEIPENDA
JIDE PLS UNGEWEKA PLY LIST YAKO DEAR NASIE WAPENZI WAKO WA NJE YA NCI TUKUSIKIE MAANA HUNGOJEA MPAKA NIKIJA LIKIZO NDO NINUNNUE CD AU NIKIMPATA MTU ANKUJA PLS DEAR
MUNGU AKUBARIKI KTK KAZI YAKO

Yahya said...

Mh mwenzangu hayo mashairi ni noma balaa hahahaha I like it...
keep it up, good work
http://www.staryte.ucoz.com/

Betty said...

Dada Jide, nimesoma mistari yako na kugundua kuwa hilo ni DONGO LA KUFUNGIA MWAKA. Mhusika au Wahusika HALISI, WATAIPATA PATA NA KUISOMA HATA KAMA NI KIROHO ROHO. Nimeipenda mistari yote na imewakilisha ujumbe vema saaanaa, nasubiri kuisikia ikiimbwa radioni. HONGERA SAAAANAAAA.

Anonymous said...

dada jide achana nao hao wenye wivu na wewe coz hawajui kuwa maisha ya kila mwanadamu mungu ndo anapanga na ridhiki mungu ndo anatoa .

Anonymous said...

If one by one we counted people out For the
least sin, it wouldn't take us long To get so
we had no one left to live with. For to be
social is to be forgiving.

Naomba usamehe tu dada watu wanakupenda wana ku support unafanya vizuri una kipaji usipoteze muda kwa watu wasiojitambua.
Ishi maisha yako kwa furaha na amani.
uwezi kupendwa na watu wote maadui ni wengi kuliko marafiki.

Happy 13th Anniversary!

Anonymous said...

Sasa ilo baki imba taarabu maana hizo dalili za kushindwa kimuziki.maana unatitia Shaka sana inawezekana huyo jamaa anajua Siri zako sana na mpaka ikifikia unamuimba basi yuko juu.ila watch out Kama mtu anayejua anaweza kukufungulia mashtaka ikiwa na akipata mashaidi wa uhakika watakothibitisha kweli umemlenga yeye.

Anonymous said...

Du si mchangiaji humu ila huyu Yahya looo acha atungiwe wimbo alizidiii Big Up Jide Yahya aka ........ alizidiiii kaumiza wengi kwa uchonganishi hata mie ni muhanga

GDALAH GODFREY said...

Duuuh! Hahahahahahaha. Yahaya katishaa nishamjua loading....

Anonymous said...

Na wewe sasa umezidi sana. Kila leo ni kupiga vijembe wenzio na sasa ngoja ukutane na mkono wa sheria ndiyo utalijua jiji. Kamuulize Kajala anayo habari yake!

Anonymous said...

hatareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Anonymous said...

yakikukuta kwa huyu Yahya ndo utamuelewa ni mtu mbaya sana yan mchonganishi no moja anaweza shika tano bora Dar hii mtu hatari sana kijana huyu Jide wala hajashiwa anamaanisha Yahya katuumiza wengi

Anonymous said...

Nshamjua Yahaya ni yule baba dalali, afu mchonganishi kaa nini.
Na kurukiarukia with na mambo yasiyomhusu

Anonymous said...

muziki ni hisia na sometimes unawakilisha uhalisia. Mwache dada atoe hisia zake hata kama ni za kweli au ni utunzi tu. wakati mwingine muangalie cha kuandika kwani sio lazima kuchangia.

Anonymous said...

Hi Jaydee huu wimbo wa Yahaya ni mzuri sana, sipo tanzania kama miaka 10 ila kutokana na comments yahaya kweli yupo, hebu niambieni ni mtu wa aina gani? am very interested to know about him, cos nilikuja TZ nililizwa hela zangu na mtu akijifanya atampatia passport haraka mdogo wangu akaingia mitini na hela.nahis atakuwa ni yahaya, plz kwa anayemjua hebu amuelezee yahaya Cindy.

Anonymous said...

Mdada wa nguvu Jide umetisha sana na umewasssshika

Austine Wanga said...

I admire each and every passing moment. Your music soothes my soul. Cheers Jay Dee!!

Anonymous said...

So true waambie peupe

Karol Tunduli said...

Lady Jay dee i love your music so so much have listened to this song over and over and over ~ it is an awesome one

Karol Tunduli said...

Your Music is always awesome, positive and you need to doa track with dr. jose we see how it will be like , it would be more than a hit

Anonymous said...

Lione hili nalooo...heeeh huna haya. Umeona jina la Mtu hapo au Sifa tu.