Thursday, July 4, 2013

DIARY YA JUMAPILI HII YA TAR 7 JULY 2013 - ITAKUWA NA YAFUATAYO

Kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku EATV unapata nafasi ya kuangalia Diary ya Lady Jay Dee
Marudio yake ni kila Jumatatu saa 8:00 mchana na kila Alhamis saa 2:30 Usiku
 

Jumapili hii inayokuja yaliyomo ndani ya Diary ni pamoja na:
Muungano wa Jide na Q-Chief katika wimbo mpya
Utapata kuona wauza mitumba wa kinondoni manyanya ambao wame join ku support Team Anaconda kwa mapenzi yao bila kulazimishwa.
 
Hivyo kupelekea JayDee kufanya shopping hapo
 
Na pia utapata nafasi ya kuona semina ya mafunzo ya kuondoa umaskini na njaa kwa wanawake wajasiriamali toka pande zote za nchini Tanzania.
Hafla iliofanyika chini ya mfuko wa fursa sawa kwa wote
Ambapo mwenyekiti wa mfuko huo ni Mama Anna Mkapa
Usikose kuangalia DIARY YA LADY JAYDEE kila Jumapili 3:00 Usiku, Jumatatu 8:00Mchana na Alhamisi 2:30 Usiku
Ndani ya EATV kwa udhamini mkubwa wa
AIRTEL
 

7 comments:

Anonymous said...

Hongera sana jide kwa hilo.

Academia Today said...

Hello JIDE,
ngoma yako mpya na Rama de ni bonge moja la ngoma.
nmeipenda na leo nmeshinda naisikiliza.
TEAM ANACONDA.

Vicky.

JEMIMAH MUSHI said...

Dada vp pale ushirika mbona ilikua vile tena ma mm nilikuja kukuangalia ww sasa wimbo mmoja tu jaman nmehuzunika kwa kweli isitoshe nilinywa kuja na wifi yako

Sniper said...

umetishaaaaaaaaaa

Mdau Uk said...

Jemmima amesha waomba radhi kwa face book kunatatizo lili tokea nje ya uwezo wake..Jadee naona imekuwa ngumu kutuwekea fans wako wa nje tuone kwa u tube..naomba tafuta njia ya kutuwekea on line kwa kulipia bc plzzzz

maggie Bomoa said...

Kilicho nifurahisha zaidi ni wewe kwenda kuwaona wale wauza mitumba wa Manyanya umezidi kuwadhihilishia watu kuwa wewe ni mtu wao, maana huna majivuno hata kidogo nakupenda kwa hilo. Nilisikia vipele vya baridi vikinitoka kwa kitendo kile maana wenyewe walikiita ni cha kushangaza kwani hawakuwahi hata kuota kama wanaweza ongea na wewe au kuwatembelea pale.Umefanya jambo kubwa na la kiungwana sana HONGERA SANA. Naisubiri SUKARI kwa hamu muivunje record mliyoiweka ninyi wenyewe miaka 10 iliyopita "ZAMANI".Kila rakheri

TEAM ANACONDA.

lyna wa ukwee said...

jmn dada mbna hututendei haki sie wa mbali???????????plzzzzzzzzzz tunakuomba utufikilie jmn.